Description
𝗼𝗿𝗮𝗶𝗺𝗼 𝗦𝗺𝗮𝗿𝘁 𝗦𝗵𝗮𝘃𝗲𝗿 𝟮
Ni mashine ya kisasa kwa ajili ya kunyoa nywele zote kiasi cha level ya ngozi (kipara) bila kusababisha vipele au miwasho.
𝗗𝗨𝗔𝗟 𝗨𝗟𝗧𝗥𝗔-𝗧𝗛𝗜𝗡 𝗥𝗔𝗭𝗢𝗥
Nyembe zake ni ndogo sana, hivyo haziumizi, huondoa nywele zote na ni rahisi kusafisha.
𝗜𝗣𝗫𝟳 𝗪𝗔𝗧𝗘𝗥 𝗥𝗘𝗦𝗜𝗦𝗧𝗔𝗡𝗖𝗘
Ni waterproof hivyo unaweza kuisafisha kirahisi kwa kutumia maji.
𝗖𝗛𝗔𝗥𝗚𝗘
Zinatunza chaji kwa saa moja na nusu.
𝗔𝗗𝗗𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡
Zina 3D Floating Razor Head ambazo zinasaidia kufikia kila angle zilipo ndevu na kunyoa smoothly.
Zinafaa kwa matumizi ya nyumbani na saloon.
Portable na ni rahisi kutumia.
𝗪𝗔𝗥𝗥𝗔𝗡𝗧𝗬
Warranty ya mwaka mmoja (Siku 365).
𝗠𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔𝗡𝗢
𝟬𝟳𝟱𝟬𝟬𝟵𝟯𝟰𝟲𝟳 (whatsap + calls)- SINZA MADUKANI
𝟬𝟳𝟲𝟯𝟭𝟳𝟯𝟮𝟳𝟬 (whatsap + calls)- MAKUMBUSHO PLAZA
𝟬𝟳𝟱𝟴𝟯𝟵𝟱𝟯𝟱𝟱 (whatsap + calls)- KINONDONI -MWANAMBOKA
𝟬𝟳𝟰𝟴𝟱𝟯𝟵𝟯𝟮𝟴 (whatsap + calls)- ARUSHA, Friends corner street.
𝗗𝗘𝗟𝗜𝗩𝗘𝗥𝗬
Delivery service inapatikana kwa mikoa yote.
There are no reviews yet.