Description
๐ผ๐ฟ๐ฎ๐ถ๐บ๐ผ ๐ฆ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ ๐๐ฒ๐๐๐น๐ฒ
Ni jagi la umeme lenye muonekano mzuri,ujazo mkubwa (1.7 litres) na material imara sana.
๐ฃ๐ข๐ช๐๐ฅ
Rated power: 1800 watts
Hii ni power kubwa inayokusaidia kuchemsha maji kwa muda mfupi sana ( lita 1.7 kwa dakika 5-8 kufikia 100ยฐC)
๐ ๐๐ง๐๐ฅ๐๐๐
Limetengenezwa kwa stainless steel, ambayo ni rahisi kusafisha na haipati kutu.
๐๐ข๐ก๐ง๐ฅ๐ข๐
Huzima lenyewe (automatic) maji yakichemka.
Unafungua mfuniko kwa ku press button.
๐ฆ๐๐๐๐ง๐ฌ
Lina muundo wa double walls hivyo halipati joto upande wa nje, ni salama kutumia.
Huzima lenyewe endapo umewasha bila kuweka kimiminika (boil dry protection)
Ni overheat protection, hivyo si rahisi kuungua.
๐๐๐๐๐ง๐๐ข๐ก
Upande wa ndani wa jagi umeundwa kwa SUS 304 stainless steel ambayo inazuia corrosion, oxidation, inadumu na ni rahisi kuisafisha.
๐ช๐๐ฅ๐ฅ๐๐ก๐ง๐ฌ
Bidhaa ina warranty ya mwaka mzima (siku 365).
๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐ข
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ฌ ๐ฌ๐ต๐ฏ ๐ฐ๐ฒ๐ณ (whatsap+calls)- SINZA MADUKANI
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ด ๐ฏ๐ต๐ฑ ๐ฏ๐ฑ๐ฑ (whatsap + calls)- KINONDONI
๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ฏ ๐ญ๐ณ๐ฏ ๐ฎ๐ณ๐ฌ (whatsap + calls)- MAKUMBUSHO-PLAZA MWANAMBOKA
๐ฌ๐ณ๐ฐ๐ด ๐ฑ๐ฏ๐ต ๐ฏ๐ฎ๐ด (whatsap + calls)- ARUSHA, Friends corner street.
๐๐๐๐๐ฉ๐๐ฅ๐ฌ
Delivery service inapatikana kwa mikoa yote.
There are no reviews yet.