Description
๐ผ๐ฟ๐ฎ๐ถ๐บ๐ผ ๐ฆ๐บ๐ฎ๐ฟ๐๐๐น๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฒ๐ฟ
Ni blender yenye muonekano mzuri, imara, ujazo mkubwa (1.5 litres), rahisi kusafisha na lina uwezo mkubwa wa kukabiliana na nguvu (force) inayozalishwa ndani yake.
๐ฃ๐ข๐ช๐๐ฅ
Ni blender yenye 500 watts, ni nguvu kubwa inayorahisisha usagaji na kutengeneza kimiminika laini ndani ya muda mfupi sana.
Ina nyembe kali sana zilizotengenezwa kwa stainless steel, hivyo si rahisi kupata kutu na inakupa kinywaji salama kwa matumizi ya binadamu.
๐ก๐ข๐ก-๐ฆ๐๐๐ฃ ๐๐๐ฆ๐๐๐ก
Base (kitako) yake ni silicone anti-slip mat inayozuia kuteleza na kupunguza kelele wakati wa matumizi
๐ฆ๐ฃ๐๐๐ ๐๐ข๐ก๐ง๐ฅ๐ข๐
Ina spidi mbili tofauti ambazo unaweza kutumia kulingana na aina ya vitu unavyohitaji kusaga.
๐๐๐๐๐ง๐๐ข๐ก
Ni blender yenye nguvu ya kutosha kukupatia kinywaji kinacholingana na mahitaji yako, na rahisi kuisafisha na kuitunza baada ya matumizi.
๐ช๐๐ฅ๐ฅ๐๐ก๐ง๐ฌ
Bidhaa ina warranty ya mwaka mzima (siku 365).
๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐ข
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ฌ๐ฌ๐ต๐ฏ๐ฐ๐ฒ๐ณ (whatsap + calls)- SINZA MADUKANI
๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ฏ๐ญ๐ณ๐ฏ๐ฎ๐ณ๐ฌ (whatsap + calls)- MAKUMBUSHO PLAZA
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ด๐ฏ๐ต๐ฑ๐ฏ๐ฑ๐ฑ (whatsap + calls)- KINONDONI -MWANAMBOKA
๐ฌ๐ณ๐ฐ๐ด๐ฑ๐ฏ๐ต๐ฏ๐ฎ๐ด (whatsap + calls)- ARUSHA, Friends corner street.
๐๐๐๐๐ฉ๐๐ฅ๐ฌ ๐ฆ๐๐ฅ๐ฉ๐๐๐
Huduma ya delivery inapatikana kwa mikoa yote.
There are no reviews yet.