Description
๐ผ๐ฟ๐ฎ๐ถ๐บ๐ผ ๐ก๐ฒ๐ฐ๐ธ๐น๐ฎ๐ฐ๐ฒ ๐ฃ๐ฟ๐ผ
Ni neckband yenye muziki wenye ubora wa hali ya juu (๐๐ฒ๐ฟ๐ผ ๐ป๐ผ๐ถ๐๐ฒ, ๐ฝ๐๐ฟ๐ฒ ๐๐ผ๐๐ป๐ฑ), mwonekano mzuri, imara, na ย nyepesi ukiivaa unakuwa comfortable sana.
Unaweza ku-switch bezi unayohitaji (normal mode & havybass mode)
๐ฃ๐ฅ๐ข ๐๐ฌ๐๐ฅ๐๐ ๐๐ก๐
Neckband imetengenezwa kwa teknolojia ya active noise cancellation, hivyo kufanya uenjoy muziki wake na calls bila kusikia kelele za nje.
๐ง๐ฅ๐๐ก๐ฆ๐ฃ๐๐ฅ๐๐ก๐๐ฌ ๐ ๐ข๐๐
Mode hii inakusaidia kusikia sauti za nje ukiwa unasikiliza muziki.
๐๐ข๐ช ๐๐๐ง๐๐ก๐๐ฌ ๐๐๐ ๐ ๐ ๐ข๐๐
Mode hii inakufanya uenjoy zaidi wakati unacheza video games.
๐๐๐๐ฅ๐๐
Playtime:
50 hours in ANC OFF mode
32 hours in ANC ON mode
Pia, unaweza kuichaji kwa dakika 10 na kuitumia kwa masaa 10.
๐ ๐๐๐ก๐๐ง๐๐ ๐๐ข๐๐
Ni neckband iliyotengenezwa kwa mfumo wa sumaku, hivyo kukurahisishia ubebaji, kuhifadhi na kuwasha/kuzima.
POWER ON: Unatenganisha usumaku katika buds zako
POWER OFF: Unagusanisha usumaku katika buds zako.
๐๐จ๐๐ ๐๐๐ฉ๐๐๐ ๐๐ข๐ก๐ก๐๐๐ง๐๐ข๐ก
Unaweza ku-connect vifaa vyako viwili kwa wakati mmoja.
๐๐ฃ๐ซ๐ฑ ๐ช๐๐ง๐๐ฅ๐ฃ๐ฅ๐ข๐ข๐
Ni waterproof hivyo unaweza ukaitumia katika michezo au shughuli nyingine yoyote bila hofu ya jasho au maji.
Ina BT version V5.3 hivyo ni rahisi na haraka ku-connect na ku-switch kutoka device moja kwenda nyingine.
๐ช๐๐ฅ๐ฅ๐๐ก๐ง๐ฌ
Warranty ya mwaka mzima (Siku 365).
๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐ข
๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ฏ ๐ญ๐ณ๐ฏ ๐ฎ๐ณ๐ฌ (watsap + calls)- MAKUMBUSHO-PLAZA
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ด ๐ฏ๐ต๐ฑ ๐ฏ๐ฑ๐ฑ (watsap + calls)- KINONDONI MWANAMBOKA
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ฌ ๐ฌ๐ต๐ฏ ๐ฐ๐ฒ๐ณ (watsap + calls)-SINZA MADUKANI
๐ฌ๐ณ๐ฐ๐ด๐ฑ๐ฏ๐ต๐ฏ๐ฎ๐ด (watsap + calls)- ARUSHA, Friends corner street.
๐๐๐๐๐ฉ๐๐ฅ๐ฌ
Delivery service inapatikana kwa mikoa yote.
There are no reviews yet.