Description
๐ผ๐ฟ๐ฎ๐ถ๐บ๐ผ ๐ก๐ฒ๐ฐ๐ธ๐น๐ฎ๐ฐ๐ฒ ๐ฐ
Ni neckband yenye muziki wenye ubora wa hali ya juu (Superior bass), muonekano mzuri, na material yake ni imara sana.
๐๐๐๐ฅ๐๐
Inatunza charge kwa muda wa masaa 50 (playtime).
Pia, unaweza kuichaji kwa dakika 10 na kuitumia kwa masaa 10.
๐ก๐ข๐๐ฆ๐ ๐๐๐ก๐๐๐๐๐๐ง๐๐ข๐ก
Imetengenezwa kwa teknolojia inayopunguza kelele za mazingira uliyopo wakati unaongea na simu, hivyo kukupa urahisi wa kusikilizana na unayeongea nae bila kujali upo mazingira gani.
๐ ๐๐๐ก๐๐ง๐๐ ๐๐ข๐๐
Ni neckband iliyotengenezwa kwa mfumo wa sumaku, hivyo kukurahisishia ubebaji, kuhifadhi na kuwasha/kuzima.
POWER ON: Unatenganisha usumaku katika buds zako
POWER OFF: Unagusanisha usumaku katika buds zako.
๐ ๐ข๐๐๐ฆ
Unaweza kubadilisha modes (normal & Havybass) kadri utakavyo.
Pia, unaweza kuweka game mode pale unapokuwa unacheza video games.
๐๐จ๐๐ ๐๐๐ฉ๐๐๐ ๐๐ข๐ก๐ก๐๐๐ง๐๐ข๐ก
Unaweza ku-connect vifaa vyako viwili kwa wakati mmoja.
๐๐ฃ๐ซ๐ฑ ๐ช๐๐ง๐๐ฅ๐ฃ๐ฅ๐ข๐ข๐
Ni waterproof hivyo unaweza ukaitumia katika michezo bila hofu ya jasho au maji.
๐๐๐๐๐ง๐๐ข๐ก
Ni neckband nyepesi ukiivaa unakuwa comfortable sana.
Ina BT version V5.3 hivyo ni rahisi na haraka ku-connect na ku-switch kutoka device moja kwenda nyingine.
๐ช๐๐ฅ๐ฅ๐๐ก๐ง๐ฌ
Bidhaa ina warranty ya mwaka mzima (siku 365).
๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐ข
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ฌ ๐ฌ๐ต๐ฏ ๐ฐ๐ฒ๐ณ (whatsap + calls)- SINZA MADUKANI
๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ฏ ๐ญ๐ณ๐ฏ ๐ฎ๐ณ๐ฌ (whatsap + calls)- MAKUMBUSHO-PLAZA
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ด ๐ฏ๐ต๐ฑ ๐ฏ๐ฑ๐ฑ (whatsap + calls)- KINONDONI MWANAMBOKA
๐ฌ๐ณ๐ฐ๐ด ๐ฑ๐ฏ๐ต ๐ฏ๐ฎ๐ด (whatsap + calls)- ARUSHA, Friends corner street.
๐๐๐๐๐ฉ๐๐ฅ๐ฌ ๐ฆ๐๐ฅ๐ฉ๐๐๐
Huduma ya delivery inapatikana kwa mikoa yote
There are no reviews yet.