Description
๐ผ๐ฟ๐ฎ๐ถ๐บ๐ผ ๐ฆ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ ๐ข๐ณ๐ณ๐ถ๐ฐ๐ฒ ๐ช๐ถ๐ฟ๐ฒ๐น๐ฒ๐๐ ๐๐ฒ๐๐ฏ๐ผ๐ฎ๐ฟ๐ฑ ๐ ๐ผ๐๐๐ฒ ๐๐ผ๐บ๐ฏ๐ผ
Ni keyboard nzuri sana na yenye mwonekano wa kuvutia, ndogo na nyepesi.
๐ค๐จ๐๐๐ง ๐ง๐ฌ๐ฃ๐๐ก๐
Ni keyboard ambayo haitoi sauti kubwa unapo type na unapotumia mouse yake.
๐๐๐ฆ๐ง๐๐ก๐๐
Una uwezo wa kuitumia mpaka umbali wa mita nane kutoka kwenye kifaa chako
๐๐ข๐ ๐ฃ๐๐ง๐๐๐๐๐๐ง๐ฌ
Una uwezo wa kutumia katika windows tofauti tofauti kama 7,8,10, na 11.
Unaweza kuitumia katika desktop na laptop.
๐ง๐ฅ๐๐ก๐ฆ๐ ๐๐ฆ๐ฆ๐๐ข๐ก ๐ฆ๐ฃ๐๐๐
Ina 2.4GHz, ambayo inaruhusu spidi kubwa ya data transmission (allowing you to grasp your inspiration instantly)
๐๐๐๐๐ง๐๐ข๐ก
- Ni keyboard yenye size ndogo,nyepesi na inayobebeka kiurahisi (portable).
- Ipo slim kiasi kwamba haiumizi vidole hata ukitype kwa muda mrefu
๐ช๐๐ฅ๐ฅ๐๐ก๐ง
Bidhaa ina warranty ya mwaka mzima (siku 365).
๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐ข
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ด ๐ฏ๐ต๐ฑ ๐ฏ๐ฑ๐ฑ (watsap + calls)- KINONDONI MWANAMBOKA
๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ฏ ๐ญ๐ณ๐ฏ ๐ฎ๐ณ๐ฌ (watsap + calls)- MAKUMBUSHO-PLAZA
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ฌ ๐ฌ๐ต๐ฏ ๐ฐ๐ฒ๐ณ (watsap+calls)- SINZA MADUKANI
๐ฌ๐ณ๐ฐ๐ด ๐ฑ๐ฏ๐ต ๐ฏ๐ฎ๐ด (watsap+calls)- ARUSHA, Friends corner street.
๐๐๐๐๐ฉ๐๐ฅ๐ฌ
Delivery service inapatikana kwa mikoa yote.
There are no reviews yet.