Description
๐ผ๐ฟ๐ฎ๐ถ๐บ๐ผ ๐๐ผ๐๐๐ฝ๐ผ๐ ๐๐น๐ณ ๐ฎ
Ni kifaa kinachokupa huduma ya internet yenye kasi ya 4G, na kina umbo dogo hivyo unaweza kukibeba mahali popote.
๐ฆ๐๐๐ฅ๐๐๐๐๐, ๐ฆ๐จ๐ฃ๐๐ฅ-๐๐๐ฆ๐ง ๐ช๐ถ-๐๐ถ
Ina uwezo wa kutoa huduma ya internet kwa vifaa mpaka 10 kwa wakati mmoja kwa spidi ya 150Mbps.
๐๐ข๐ก๐ฉ๐๐ก๐๐๐ก๐ง ๐๐ก๐ ๐๐๐ฆ๐ฌ
Inatumia app ya Translink ambayo inakupa urahisi katika ku-manage data zako, lakini pia unaweza kutumia kompyuta yako.
๐ฃ๐ข๐ฅ๐ง๐๐๐๐
Kina umbo kiasi cha kutosha kuingia mfukoni kuhakikisha unapata huduma ya internet mahali popote uendapo.
๐๐๐๐ฅ๐๐
Battery capacity: 2920mAh
Ina betri yenye nguvu ya kutosha kutumia kwa masaa 13.
๐๐๐๐๐ง๐๐ข๐ก
Ni kifaa kinachokupatia huduma imara ya internet (stable and perfect) kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, safarini n.k
๐ช๐๐ฅ๐ฅ๐๐ก๐ง๐ฌ
Bidhaa ina warranty ya mwaka mzima (siku 365).
๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐ข
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ฌ ๐ฌ๐ต๐ฏ ๐ฐ๐ฒ๐ณ (whatsap + calls)- SINZA MADUKANI
๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ฏ ๐ญ๐ณ๐ฏ ๐ฎ๐ณ๐ฌ (whatsap + calls)- MAKUMBUSHO-PLAZA
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ด ๐ฏ๐ต๐ฑ ๐ฏ๐ฑ๐ฑ (whatsap + calls)- KINONDONI MWANAMBOKA
๐ฌ๐ณ๐ฐ๐ด ๐ฑ๐ฏ๐ต ๐ฏ๐ฎ๐ด (whatsap + calls)- ARUSHA, Friends corner street.
๐๐๐๐๐ฉ๐๐ฅ๐ฌ ๐ฆ๐๐ฅ๐ฉ๐๐๐
Huduma ya delivery inapatikana kwa mikoa yote.
There are no reviews yet.