Description
๐ผ๐ฟ๐ฎ๐ถ๐บ๐ผ ๐ช๐ฎ๐๐ฐ๐ต ๐ฑ ๐๐ถ๐๐ฒ
Ni saa yenye muonekano mzuri wa kuvutia (HD Screen), na imara sana.
๐ช๐๐ฅ๐๐๐๐ฆ๐ฆ ๐๐๐๐
Ina uwezo wa kupiga, kupokea na kukata simu, pia ina HD audio quality hivyo kukufanya usikie na kusikika vizuri katika maongezi yako.
๐ญ๐ฌ๐ฑ+ ๐ฆ๐ฃ๐ข๐ฅ๐ง๐ฆ ๐ ๐ข๐๐๐ฆ
Inasapoti kutumia kwenye michezo zaidi ya 105, na unaweza ku-control muziki kupitia saa yako ukiwa unafanya mazoezi.
๐ฎ๐ฐ๐๐ฅ๐ฆ ๐๐๐๐๐ง๐ ๐ ๐ข๐ก๐๐ง๐ข๐ฅ๐๐ก๐
Saa hii inakusaidia ku-monitor na ku-record afya yako kwa kupima mapigo ya moyo, kiasi cha oxygen kwenye damu, energy, hatua, umbali n.k.
๐๐๐๐ฅ๐๐
Inatunza chaji kwa muda wa siku 7.
๐๐ฃ๐ฒ๐ด ๐๐จ๐ฆ๐ง & ๐ช๐๐ง๐๐ฅ ๐ฅ๐๐ฆ๐๐ฆ๐ง๐๐ก๐๐
Hii inasaidia kuhimili mvua, jasho na vumbi.
๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ ๐๐๐๐๐๐ง
Hii ni zaidi ya saa, ina stopwatch, alarm, calculator, flashlight, remote control of camera, na unaweza kuitafuta simu yako kupitia saa.
๐๐๐
Bei ya awali tsh ๐ด๐ฌ,๐ฌ๐ฌ๐ฌ/=
Bei ya punguzo tsh ๐ฑ๐ฑ,๐ฌ๐ฌ๐ฌ/=
๐ช๐๐ฅ๐ฅ๐๐ก๐ง๐ฌ
Bidhaa ina warranty ya mwaka mmoja.
๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐ข
๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ฏ ๐ญ๐ณ๐ฏ ๐ฎ๐ณ๐ฌ (whatsap + calls)- MAKUMBUSHO-PLAZA
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ด ๐ฏ๐ต๐ฑ ๐ฏ๐ฑ๐ฑ (whatsap + calls)- KINONDONI MWANAMBOKA
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ฌ ๐ฌ๐ต๐ฏ ๐ฐ๐ฒ๐ณ (whatsap + calls)- SINZA MADUKANI
๐ฌ๐ณ๐ฐ๐ด ๐ฑ๐ฏ๐ต ๐ฏ๐ฎ๐ด (watsap + calls)- ARUSHA, Friends corner street.
๐๐๐๐๐ฉ๐๐ฅ๐ฌ ๐ฆ๐๐ฅ๐ฉ๐๐๐
Huduma ya delivery inapatikana kwa mikoa yote.
There are no reviews yet.