Description
๐ผ๐ฟ๐ฎ๐ถ๐บ๐ผ ๐๐ฟ๐ฒ๐ฒ๐ฃ๐ผ๐ฑ๐ ๐ฃ๐ฟ๐ผ+
Ni earpods pendwa yenye mwonekano mzuri, imara na ina sauti yenye ubora wa hali ya juu, ina tuzo ya IF design award.
๐๐๐ฉ๐ฌ๐๐๐ฆ๐ฆ
Earbuds hii ina bezi (bass) ya kutosha, na unaweza ku-customize mode mbalimbali za mziki kupitia app ya oraimo sound.
๐ฃ๐ฅ๐ข ๐๐ฌ๐๐ฅ๐๐ ๐ก๐ข๐๐ฆ๐ ๐๐๐ก๐๐๐๐๐๐ง๐๐ข๐ก
Imetengenezwa kwa teknolojia inayoponguza sauti za nje (kelele) kwa 60%, hivyo utasikiliza mziki au kuongea na simu bila shida ya mazingira uliyopo.
๐๐จ๐๐ ๐๐๐ฉ๐๐๐ ๐๐ข๐ก๐ก๐๐๐ง๐๐ข๐ก
Unaweza ku-connect vifaa viwili kwa wakati mmoja (mfano; simu na laptop), na ina-switch automatic pale unapobadilisha kifaa unachotumia.
๐ง๐ฅ๐๐ก๐ฆ๐ฃ๐๐ฅ๐๐ก๐๐ฌ ๐ ๐ข๐๐
Mode hii inatumika pale unapohitaji kusikia sauti za nje wakati ukiwa umevaa buds zako.
๐ช๐๐๐ ๐ง๐๐ฃ ๐๐ฅ๐๐
Hii ni feature inayokuwezesha kufanya touch control bila kugusa buds zako, ila kwa kugusa eneo la pembeni kidogo ya sikio au upande wa juu wa sikio.
๐ฐ-๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ข๐ฅ๐ ๐๐ก๐ ๐ง๐๐๐๐ก๐ข๐๐ข๐๐ฌ
Teknolojia hii inaku-offer clear and pure voice wakati unaongea na simu, kwa kuchuja sauti za nje na kunasa moja kwa moja sauti inayotoka kinywani.
๐๐๐๐ฅ๐๐
Earbuds zinatunza chaji masaa 43.
13 hrs buds + 30hrs case.
๐๐๐๐๐ง๐๐ข๐ก
โข Google fast pairing, ina-connect kwa haraka sana na inakupa pop-up notification kwenye simu yako.
โข Ina-detect pale unapotoa bud moja, ina-pause muziki na ukiirudisha ina-resume.
โข Low latency mode, unayoweza kuitumia unapocheza video games.
๐ช๐๐ฅ๐ฅ๐๐ก๐ง๐ฌ
Warranty ya mwaka mmoja (365 days).
๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐ข
๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ฏ ๐ญ๐ณ๐ฏ ๐ฎ๐ณ๐ฌ (watsap + calls)- MAKUMBUSHO-PLAZA
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ด ๐ฏ๐ต๐ฑ ๐ฏ๐ฑ๐ฑ (watsap + calls)- KINONDONI MWANAMBOKA
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ฌ ๐ฌ๐ต๐ฏ ๐ฐ๐ฒ๐ณ (watsap+calls)- SINZA MADUKANI
๐ฌ๐ณ๐ฐ๐ด ๐ฑ๐ฏ๐ต ๐ฏ๐ฎ๐ด (watsap+calls)- ARUSHA, Friends corner street.
๐๐๐๐๐ฉ๐๐ฅ๐ฌ
Delivery service inapatikana kwa mikoa yote.
There are no reviews yet.