Description
๐ผ๐ฟ๐ฎ๐ถ๐บ๐ผ ๐๐ผ๐ผ๐บ๐ฃ๐ผ๐ฝ ๐๐ถ๐๐ฒ
Ni headphones nzuri, nyepesi, imara na ina bezi (bass) ya kutosha ( Sound360 Spatial Audio).
๐๐๐๐ฅ๐๐
Inatunza chaji kwa masaa sitini na tano (65 hrs playtime).
Unaweza kuichaji kwa dakika 10 ukaitumia kwa dakika 360, AniFast Technology.
๐๐ก๐ ๐ง๐๐๐๐ก๐ข๐๐ข๐๐ฌ
Hii inapunguza kelele wakati unaongea na simu, hivyo kukupatia clear calls hata kama upo sehemu yenye kelele.
๐๐จ๐๐ ๐๐๐ฉ๐๐๐ ๐๐ข๐ก๐ก๐๐๐ง๐๐ฉ๐๐ง๐ฌ
Unaweza ku-connect vifaa vyako viwili kwa wakati mmoja (i.e simu na laptop).
๐๐ข๐ช ๐๐๐ง๐๐ก๐๐ฌ ๐๐๐ ๐ ๐ ๐ข๐๐
Unaweza kuitumia mode hii wakati unacheza game ili kuenjoy zaidi sauti za video games.
๐ข๐ฅ๐๐๐ ๐ข ๐ฆ๐ข๐จ๐ก๐ ๐๐ฃ๐ฃ
Headphones hii inasapoti matumizi ya oraimo sound app ambayo inakurahishia kuangalia kiasi cha chaji, ina equalizer kwa ajili ya ku-control sound quality, na ku-turn on game mode.
๐๐๐๐๐ง๐๐ข๐ก
โข Ni nyepesi, hivyo ukiivaa unakuwa comfortable sana na unaweza kuikunja na kupunguza size (foldable).
โข Unaweza ku-connect kwa Bluetooth au AUX cable.
๐ช๐๐ฅ๐ฅ๐๐ก๐ง๐ฌ
Warranty ya mwaka mmoja (Siku 365).
๐ ๐๐ช๐๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐ข
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ฌ ๐ฌ๐ต๐ฏ ๐ฐ๐ฒ๐ณ (whatsap + calls)- SINZA MADUKANI
๐ฌ๐ณ๐ฑ๐ด ๐ฏ๐ต๐ฑ ๐ฏ๐ฑ๐ฑ (whatsap + calls)- KINONDONI MWANAMBOKA
๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ฏ ๐ญ๐ณ๐ฏ ๐ฎ๐ณ๐ฌ (whatsap + calls)- MAKUMBUSHO-PLAZA
๐ฌ๐ณ๐ฐ๐ด ๐ฑ๐ฏ๐ต ๐ฏ๐ฎ๐ด (whatsap + calls)- ARUSHA, Friends corner street.
๐๐๐๐๐ฉ๐๐ฅ๐ฌ
Delivery service inapatikana kwa mikoa yote.
There are no reviews yet.